15 Sept 2016

KIBERA DO KWETU#SHENG POEM

Kibera do kwetu hata mkieda ama niede far.
Kibera do kwetu hata ka hatuezi bai car.
Kibera do kwetu coz life ni patapotea do ushibe
Kibera do kwetu kukazana  kwa bidii nika unacheza rugby ka afrey kayambe
Kibera do kwetu ata tupuuzwe in slums tuna rank in word Namba moja
Kibera do kwetu hata ka drugs zina tumaliza tuna try our best kuabstain ata ka tutameza mara moja.
Kibera do kwetu ata ka mnaleta project na zina fail na mnapata pesa mob bado sisi tutabaki kimoja
Kibera do kwetu coz sheng do lugha ata ka kwavitabu hakuna soon tutaanza
Kibera do kwetu round hii tunasimama na politician ule atatufaidi sisi si yeye binafsi.

No comments:

Post a Comment