31 Dec 2016

15 Sept 2016

KIBERA DO KWETU#SHENG POEM

Kibera do kwetu hata mkieda ama niede far.
Kibera do kwetu hata ka hatuezi bai car.
Kibera do kwetu coz life ni patapotea do ushibe
Kibera do kwetu kukazana  kwa bidii nika unacheza rugby ka afrey kayambe
Kibera do kwetu ata tupuuzwe in slums tuna rank in word Namba moja
Kibera do kwetu hata ka drugs zina tumaliza tuna try our best kuabstain ata ka tutameza mara moja.
Kibera do kwetu ata ka mnaleta project na zina fail na mnapata pesa mob bado sisi tutabaki kimoja
Kibera do kwetu coz sheng do lugha ata ka kwavitabu hakuna soon tutaanza
Kibera do kwetu round hii tunasimama na politician ule atatufaidi sisi si yeye binafsi.

19 Aug 2016

At kawagware 46/56 at a wedding.
I was called to participate in cooking chapati and serving food by my best friend who is a chef and also an outside cater.
Me there with my friend serving pilau rice



4 Aug 2016

Why mnachoma machuo ama hatuwasikizi ama mnadai nini#sheng poem

I wonder why students wanachoma machuo.
Is It that wamenywimwa right ya kuvaa manguo.
Na sikuizi wanavaa mini Na mapipe si ka zamani ulikua unavaa duos.
That is toja mbili moja dani ya kupuguza makali ya kiboko ya mwalimu Na ile ya chuo.
Ama ni stress za kuchop hard Na ukiwa engineer Wa kuuda roads zikijegwa badala upewe tender ya kujega mchina ama muhindi napewa.
Na we unabaki pale ka msee Wa mkono vumbi Na moshi do unapewa.
Ama ni koz petrol inatoka cheap ama are you parents giving you a lot of pocket money.
Ama ulichoma coz mwalimu alikupernish koz alikupata Na your honey.
mkaeza jua efforts za ur parents u can't burn wacha ata kuburn huwezi vuta sigara ama koro coz pia iyo inakuburn in ur life.

31 Jul 2016

TUMPE GOD HOPES ZETU#sheng poem

Life ni kumpa God hope zako.
Life ni kuforgive adi mwezako.
Life si kudis kila msee try kuwapa ndoto.
Ya life venye in future itakua ka msee ameshida lotto.
Usione Beshte yako mnyonge ka kiroboto.
Uka mdharau ni mtu pia mpe heshima ka msee venye upea kazi ya kokoto.
Heshima coz hapo do bread win yake utoka.
Hata wakwambie life ni hard
Jua life ni kustrive to excell.
Coz hatupendi kwenda cell.
Juu uko uki fell  ni hell.
That's why lazima u make a change Na ujipeal ka eggshell.
Coz gari bila shell diesel.
Haiezi end.
Internet hope photo

29 Jul 2016

SITAWA U DID ALOT TO ME AND OTHERS OUT THERE#onelove

Sitawa umekuwa role model to many kogole.
Najua God ata kubless ufike kilele.
Unachopagia in life so that  one day u thank God ukipiga kelele.
So now you have all na pia ushapiga kegele.
Yako ya maisha kusaidia binadamu yote mwenye shida ya kifafa na akili iyo ni kongole.
Waswahili walisema akili ni nywele kweli unazo
Umenisaidia pakubwa Sana nabado unazidi kunisaidia kunifunza mengi kunipa motisha  siku za  mabaya hili kukabili maisha
Nakubogeza Sana na kwa maisha yangu yote Sitawa sitakusahau  I always feel like u made me thanks Sitawa u have been a role model to many to me u r real role model .remember this photo ulitupenda Kwa moyo wako wote.